Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Fikira ndogo za MASHABIKI wa YANGA ndo tumefikia mahali tulipoMaoni ya mdau
Wakati Yanga inapigania uhuru makolo wao walikuwa upande wa mwarabu so wakitulize [emoji1787][emoji1787]View attachment 2953434
Kwahiyo Yanga ni chama cha siasa,walifanyaje wakati wa kutoa wakoloni?Maoni ya mdau
Wakati Yanga inapigania uhuru makolo wao walikuwa upande wa mwarabu so wakitulize [emoji1787][emoji1787]View attachment 2953434
Ni kweli, lakini kuna kipindi inabidi ujishikilie tu kulinda heshima yako.Pesa zinauma mkuu