Msigwa: Ufafanuzi wa suala la Simba

Msigwa: Ufafanuzi wa suala la Simba

Hovyo sana, masika haya watu wanakufa njaa huko vijijini maafa makubwa ya mafuriko...watu hawana matumaini wao wanawapa pesa utopolo kwenda kulitia aibu taifa....
Shame upon you
 
Wamekosea sna approach ya hili suala tena sana
Wangepiga kimya wakaendelea na mipango Yao kma ilivyokuwa na kuzalisha mpango mpya shida ni wamewaza upigaji haraka haraka
Wameaibisha brand
 
Kiasi ambacho tumekitoa kwa yanga TUTAKITOA kwa simba, "tuta" kifupi simba kajipendekeza, wangepiga kimya tu maisha yaendelee.
 
Hovyo sana, masika haya watu wanakufa njaa huko vijijini maafa makubwa ya mafuriko...watu hawana matumaini wao wanawapa pesa utopolo kwenda kulitia aibu taifa....
Shame upon you
Yanga ndio icon ya soka mkuu
 
Back
Top Bottom