Msigwa una sababu ya kurudi CHADEMA kwa hatua hii

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Kwa hatua hii ya secretariat ya akina Mrema na akina Singo na wote kuondoka akiwemo Mbowe kwa sasa unaweza kurudi Chadema kwa roho nyeupe kwa vile kundi hilo ndilo lilochangia kwa asilimia 75 kuondoka.

Wewe na Lissu na Heche akiwemo Lema mlikuwa target. Ushindi ni wenu kwa sasa rudi kwa rafiki yako ukampe kampani. Dunia tambara bovu. Wajifunze.
 
Atarudi soon.

Hivi mnajua CHADEMA ya LISSU itashiriki uchaguzi Mkuu ?

Mambo yanazidi kua matamu , Vijana wa CHADEMA mlioko Tanzania anzeni kujinoa.

CCM uchaguzi Huu wanahali mbaya kwelikweli .

Mabadiliko madogo katika tume ya uchaguzi yatafanyika, mwaka 2026 MCHAKATO WA KATIBA MPYA UNAANZA RASIMI .
 
hakika USHINDI kwa TAL na CDM unanukia!

watanzania tupo nyuma yake yeye na timu yake
 
Kwa hatua hii ya secretariat ya akina Mrema na akina Singo na wote kuondoka akiwemo Mbowe kwa sasa unaweza kurudi Chadema kwa roho nyeupe kwa vile kundi hilo ndilo lilochangia kwa asilimia 75 kuondoka.

Wewe na Lissu na Heche akiwemo Lema mlikuwa target. Ushindi ni wenu kwa sasa rudi kwa rafiki yako ukampe kampani. Dunia tambara bovu. Wajifunze.
CHADEMA IMEPOTEZA MVUTO.NI MWENDO WA UHARAKATI TU
 
Atarudi soon.

Hivi mnajua CHADEMA ya LISSU itashiriki uchaguzi Mkuu ?

Mambo yanazidi kua matamu , Vijana wa CHADEMA mlioko Tanzania anzeni kujinoa.

CCM uchaguzi Huu wanahali mbaya kwelikweli .

Mabadiliko madogo katika tume ya uchaguzi yatafanyika, mwaka 2026 MCHAKATO WA KATIBA MPYA UNAANZA RASIMI .
Kuna ukweli juu ya hili mkuu?
 
Arudi Chadema nani ampokee?
Pastor keshakuwa chawa promax wa Samia, anasubiria kwa hamu kweli kweli kukumbukwa kwenye mkeka.
 
Huyo pimbi bado anaendelea kuinanga Chadema abaki huko huko
 
Back
Top Bottom