Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Atarudi soon.Kwa hatua hii ya secretariat ya akina Mrema na akina Singo na wote kuondoka akiwemo Mbowe kwa sasa unaweza kurudi Chadema kwa roho nyeupe kwa vile kundi hilo ndilo lilochangia kwa asilimia 75 kuondoka.
Wewe na Lissu na Heche akiwemo Lema mlikuwa target. Ushindi ni wenu kwa sasa rudi kwa rafiki yako ukampe kampani. Dunia tambara bovu. Wajifunze.
CHADEMA IMEPOTEZA MVUTO.NI MWENDO WA UHARAKATI TUKwa hatua hii ya secretariat ya akina Mrema na akina Singo na wote kuondoka akiwemo Mbowe kwa sasa unaweza kurudi Chadema kwa roho nyeupe kwa vile kundi hilo ndilo lilochangia kwa asilimia 75 kuondoka.
Wewe na Lissu na Heche akiwemo Lema mlikuwa target. Ushindi ni wenu kwa sasa rudi kwa rafiki yako ukampe kampani. Dunia tambara bovu. Wajifunze.
Kuna ukweli juu ya hili mkuu?Atarudi soon.
Hivi mnajua CHADEMA ya LISSU itashiriki uchaguzi Mkuu ?
Mambo yanazidi kua matamu , Vijana wa CHADEMA mlioko Tanzania anzeni kujinoa.
CCM uchaguzi Huu wanahali mbaya kwelikweli .
Mabadiliko madogo katika tume ya uchaguzi yatafanyika, mwaka 2026 MCHAKATO WA KATIBA MPYA UNAANZA RASIMI .
Mtashinda na njaahakika USHINDI kwa TAL na CDM unanukia!
watanzania tupo nyuma yake yeye na timu yake
HAKI hainunuliki! inapiganiwa kwa jasho, damu na kushinda njaa(TAL - Gerezani Ukonga)Mtashinda na njaa
Arudi Chadema nani ampokee?
Pastor keshakuwa chawa promax wa Samia, anasubiria kwa hamu kweli kweli kukumbukwa kwenye mkeka.