Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vinamchango nchini lakini pia tunatambua vinatetea maslahi ya nchi zao

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakati anazungumza kupitia kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amesema vyombo vya nje ya nchi vipo katika kutete maslahi ya nchi zao

Soma Pia: Msigwa: Ukiona hadi tumefika hatua kufungia chombo cha Habari, kuna mambo tukiendelea kuyaacha yataleta madhara kwa Taifa

Vipo vyombo vya habari tukivipima tukifanya tathimini tunaona kabisa pamoja na kutengeeza jukumu lao la Kihabari vinao muelekea ambao kama nchi lazima tuchukue taadhari na kama nchi tuulinde jamii yetu na watu wetu dhidi ya kuletewa simulizi zinazobagaza nchi yetu zinazodhalilisha nchi yetu ndio maana mimi nipo hapa ndio kazi yangu kusema Msigwa

Hiyo ni kwa hisani ya maslahi ya matumbo ya wamatumbi fulani fulani🤔
 
Vyombo vya Habari vinatakiwa viwalinde wananchi dhidi ya watawala wababe.
 
Back
Top Bottom