Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ukarabati wa Uwanja wa Uhuru umefikia zaidi ya asilimia 98 na hivi karibuni utakuwa tayari kwa ajili ya matumizi ya vilabu vya Simba na Yanga kuelekea Simba Day na Yanga Day.
Msigwa ameeleza kuwa uwanja huo umetengenezwa kwa viwango vya kisasa, ukiwa na nyasi bandia za teknolojia ya shock pads zinazosaidia kulinda afya za wachezaji, viti zaidi ya 20,000, taa za kuwezesha michezo ya usiku, pamoja na vyoo bora ambapo ukarabati huo umegharimu zaidi ya Tsh. Bilioni 19.