and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Wewe ni Mwanamtandao!?Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako.
Binafsi ninawajua nyinyi watu wajinga, huwa mnakawaida ya ama Kuandika Mistari miwili mitatu ,kuogopa ukiandika sana watu watajua ulivyo lijinga , au uandike sanaaaa mautumbo utumbo kama Mwashambwa.Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako.
hakuna asiejua kwamba polepole ni ex-member wa mtandao na alitoka huko baada ya kuona maslahi yake yamepuuziwa kwahiyo anachokifanya ni kumwaga ugali ili wakose wote! Kwahiyo habari nyingi anazotoa kuhusu wanamtandao ni ukweli mtupu!!Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako.
Hoja za HP zimekuzidi kimo. Ficha upumbavu wako.Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako.
Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako.
Tumepumua na maujinga MwashambwaBinafsi ninawajua nyinyi watu wajinga, huwa mnakawaida ya ama Kuandika Mistari miwili mitatu ,kuogopa ukiandika sana watu watajua ulivyo lijinga , au uandike sanaaaa mautumbo utumbo kama Mwashambwa.
Haya ndio madhara ya kukosa akili na kuishia kufuga matackle makubwaHizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako.
Hakika HP kataitiwa mwanzo-mwenga Hana pa kutoboa