Msiiponde Udsm manake hii ni kama kocha Mchezaji

nani kaichafua???

unaposemea wataalamu wengine unamaanisha nini??? je unamaanisha wanatokea ud?? kwani hamna wataaalamu wanaotokea vyuo vingine na wengine wapo hapo ud wanakufundisha???

One Nineten Sixty One ... Tanganyika and Zimbabwe
 

Pamoja na hayo ukisema nasoma chuo kikuuu mtu anajua straight ni UDSM
 
acha kujisimesha pumba we si ndio ulijaza udsm mara tatu ili iwe first priority yako kwa kua huna vigezo una points mbya umekosa umepelekwa chuo cha kata afu sasa ivi unajisemesha acha kua kama dada wewe

acha kuwaaibisha raia wa udsm wewe,, leta hoja sio maneno ya kina Asha Mashauzi na Khadija Kopa
 

Haha!!! mkuu kuwa UDSM sio makalio kuwa unazaliwa Mungu kakupa pamoja na yote ni miongoni mwa vyuo Bora kabisa Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…