Msiiponde Udsm manake hii ni kama kocha Mchezaji

Msiiponde Udsm manake hii ni kama kocha Mchezaji

nani kaichafua???

unaposemea wataalamu wengine unamaanisha nini??? je unamaanisha wanatokea ud?? kwani hamna wataaalamu wanaotokea vyuo vingine na wengine wapo hapo ud wanakufundisha???

One Nineten Sixty One ... Tanganyika and Zimbabwe
 
Kiacheni chuo chetu bhana!! Pilipili ya shamba yawawashia nini? Mie nili-enjoy kuishi hall 5 miaka miwili!! Udsm ni zaidi ya chuo na ndo maana kinaitwa chuo kikuu kikongwe!! Asa wakibomoa na hayo majengo ule uasili si utapotea? Cha kufanya nahisi watajenga hostel nyingne then yale yabaki kuwa kama historia i.e makumbusho

Pamoja na hayo ukisema nasoma chuo kikuuu mtu anajua straight ni UDSM
 
acha kujisimesha pumba we si ndio ulijaza udsm mara tatu ili iwe first priority yako kwa kua huna vigezo una points mbya umekosa umepelekwa chuo cha kata afu sasa ivi unajisemesha acha kua kama dada wewe

acha kuwaaibisha raia wa udsm wewe,, leta hoja sio maneno ya kina Asha Mashauzi na Khadija Kopa
 
UDSM hamna kitu hapo.

Anzeni kwanza na hata usafi wa mazingira yenu tu.

Vyoo vyenu vinanuka sana. Mabweni yenu hususan yale maghorofa ipo siku yataleta majanga.

If I were a student there, out of an abundance of caution, I'd not even think of going inside them let alone living in them.

Haha!!! mkuu kuwa UDSM sio makalio kuwa unazaliwa Mungu kakupa pamoja na yote ni miongoni mwa vyuo Bora kabisa Africa
 
Back
Top Bottom