Hahaha yaani wee acha tu mkuu daah !!hearly, Halafu ilivyo tamu sasa uuuuwiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Wote mkuu " hatuko salama ..hahahearly, Fafanua kitaalam bro tuelewe nani anapata saratani anae nyonya papuch au anae nyonya Dushe
Sent using Jamii Forums mobile app
Damn It.. sasa hapo utakuwa unausemea moyo wa mwenzi wako ...unaweza vipi kujua kuwa hachepuki walau kiduchu ... jambo lingine pia hiyo saratani haisababishwi na mtu kuvitumia viungo vyake vya siri kwa watu tofauti la hasha ...bali ina sababishwa na virus waliopo kwenye hizo spare parts..Hata sisi wenye "ndoa zetu"[emoji41]aminifu kabisaa tuko hatiani au ni wale wenye "orodha" zao ndio wahanga wakuu??
Damn iT"
Haha aise ...nilijua tu wadau hamtoweza kuelewaYou only live once mkuu..
Huo uoga wa maisha achana nao mzee..
Hatuwezi kuacha kupanda bodaboda kisa kuna mtu alipasuka kichwa kisa ajali.
Hatuwezi kuacha kula nyama ya mbuzi kisa kuna mtu alipata gout.... BTW we"re all going to die anyway. Acha tufaidi haya maisha mafupi
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaSelfie shida
Uvinza shida
Kavu kavu shida
Free style shida
Channel 0 shida
So hizo devices zikae kama mapambo tu?
Mkuu naona sekta yako nyeti imeguswa ...Acheni kutisha watu, hayo mambo yapo miaka na miaka, aliyewahi kukutana na kansa mbili tu za mdomo maishani mwake asinipe like ambaye hajawahi kuona kansa hata moja anipe like, haya ngoja tuone
Mkuu siunaona jinsi watu wanavyo mwaga mapovu hapa wanapinga vikali .... wanaona fantasy zao zimeingiliwaHalafu mijitu ikifa inasema mkakati wa wazungu kutupunguza kha! nakubaliana na hao madaktari kila kiungo kitumike kama inavyotakiwa mambo mengine nawaachia wanaojiita mafundi uchwara.
Potelea pote😅Damn It.. sasa hapo utakuwa unausemea moyo wa mwenzi wako ...unaweza vipi kujua kuwa hachepuki walau kiduchu ... jambo lingine pia hiyo saratani haisababishwi na mtu kuvitumia viungo vyake vya siri kwa watu tofauti la hasha ...bali ina sababishwa na virus waliopo kwenye hizo spare parts..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha Mshana JrKama mtume Mohamed alifarika, kama Yesu alifariki, kama Mwl Nyerere alifariki. Who are you usifariki?
Ni lazma tufe wote wazaliwe wengine huwezi kuninyima raha kisa kuongopa kuna kifo... Mim hata nipate changudoa nazama chumvini ndiyo napiga mzingo
Magufuli tunaomba uchunguze hii hosp wafutiwe leseni
ujingaMkuu siunaona jinsi watu wanavyo mwaga mapovu hapa wanapinga vikali .... wanaona fantasy zao zimeingiliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vyote vitamu huwa vinakatazwaMbona tunakatazwa mengi sana??
Tutavaa gloves za koo...
Mkuu ukitaka kugombana na mimi wewe nikataze niachane na totoz hapo lazima tutapinduana kama mijusi
hahaha kwa mujibu wa nanihii, unavyozidi kupanua ndio unavyozidi kutamani...
dahVitu vyote vitamu huwa vinakatazwa