Msije kusema hamkuambiwa namna Ngono kwa mdomo inavyo sababisha Saratani

Msije kusema hamkuambiwa namna Ngono kwa mdomo inavyo sababisha Saratani

Hata sisi wenye "ndoa zetu"[emoji41]aminifu kabisaa tuko hatiani au ni wale wenye "orodha" zao ndio wahanga wakuu??

Damn iT"
Damn It.. sasa hapo utakuwa unausemea moyo wa mwenzi wako ...unaweza vipi kujua kuwa hachepuki walau kiduchu ... jambo lingine pia hiyo saratani haisababishwi na mtu kuvitumia viungo vyake vya siri kwa watu tofauti la hasha ...bali ina sababishwa na virus waliopo kwenye hizo spare parts..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You only live once mkuu..
Huo uoga wa maisha achana nao mzee..
Hatuwezi kuacha kupanda bodaboda kisa kuna mtu alipasuka kichwa kisa ajali.

Hatuwezi kuacha kula nyama ya mbuzi kisa kuna mtu alipata gout.... BTW we"re all going to die anyway. Acha tufaidi haya maisha mafupi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha aise ...nilijua tu wadau hamtoweza kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtume Mohamed alifarika, kama Yesu alifariki, kama Mwl Nyerere alifariki. Who are you usifariki?

Ni lazma tufe wote wazaliwe wengine huwezi kuninyima raha kisa kuongopa kuna kifo... Mim hata nipate changudoa nazama chumvini ndiyo napiga mzingo

Magufuli tunaomba uchunguze hii hosp wafutiwe leseni
 
Selfie shida
Uvinza shida
Kavu kavu shida
Free style shida
Channel 0 shida
So hizo devices zikae kama mapambo tu?
Hahaha
images(85).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu mijitu ikifa inasema mkakati wa wazungu kutupunguza kha! nakubaliana na hao madaktari kila kiungo kitumike kama inavyotakiwa mambo mengine nawaachia wanaojiita mafundi uchwara.
Mkuu siunaona jinsi watu wanavyo mwaga mapovu hapa wanapinga vikali .... wanaona fantasy zao zimeingiliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damn It.. sasa hapo utakuwa unausemea moyo wa mwenzi wako ...unaweza vipi kujua kuwa hachepuki walau kiduchu ... jambo lingine pia hiyo saratani haisababishwi na mtu kuvitumia viungo vyake vya siri kwa watu tofauti la hasha ...bali ina sababishwa na virus waliopo kwenye hizo spare parts..

Sent using Jamii Forums mobile app
Potelea pote😅
 
Kama mtume Mohamed alifarika, kama Yesu alifariki, kama Mwl Nyerere alifariki. Who are you usifariki?

Ni lazma tufe wote wazaliwe wengine huwezi kuninyima raha kisa kuongopa kuna kifo... Mim hata nipate changudoa nazama chumvini ndiyo napiga mzingo

Magufuli tunaomba uchunguze hii hosp wafutiwe leseni
Haha Mshana Jr
images(76).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom