Aisee .... yale machumvi chumvi sasa unaanzaje kuyaachahahaha kwa mujibu wa nanihii, unavyozidi kupanua ndio unavyozidi kutamani...
Laa laaa kumbe wewe ni nguli kabisa wa hiyo sector ..basi nimenyoosha mikonoMkuu ukitaka kugombana na mimi wewe nikataze niachane na totoz hapo lazima tutapinduana kama mijusi
Lengo la JamiiForums ni kuelimisha, kuhabarisha, kuburudisha, kuhamasisha, kuliwaza, kutatua kero mbalimbali katika jamii ambazo zina mfanano na malengo yote niliyo yataja
Hivyo basi sote kwa pamoja/ujumla wetu tuhusike na taarifa hii ..
Asije akatokea mtu nakusema kuwa hajawahi kuambiwa/ kuhabarishwa .Tendo la furaha la dakika 10 tu linaweza kuwa sababu ya kuichukua hatima ya maisha yako na family yako ..
Ila huu ugonjwa nao umekaa mahali pabaya sana.. DAMN IT!
View attachment 1027000
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikimbilie hii fursa ... naenda china kuwaambia tufanye hii project ..najua nitapiga Sana pesa... Maana wadau mpo wengi sanaTutavaa gloves za koo...
Hahaa hao ni sikio la kufa mkuucc: Wema Sepetu, Hamisa Mobetto, Kajala, Aunty Ezekiel, na wasanii wengine wa bongo movie na fleva wasiojitambua.
We sio mdau??Ngoja nikimbilie hii fursa ... naenda china kuwaambia tufanye hii project ..najua nitapiga Sana pesa... Maana wadau mpo wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio chief, huku dini inaruhusu
MISUSE OF RESOURCES
waunde ndom za mdomo
Eti maza confesa utakubali kabisa jamaa amalize kabisa bila kushuka/kuzama kunako?[emoji39]Hata sisi wenye "ndoa zetu"[emoji41]aminifu kabisaa tuko hatiani au ni wale wenye "orodha" zao ndio wahanga wakuu??
Damn iT"
Aahh siiogopi saratani au !!? .... mimi sitaki kabisa huo udau wa namna hiyo .... watoto wangu bado wadogo na mimi nikiwa kama mzazi ndio tumaini lao kuu ....... sitaki wabaki mayatima na kuwaachia umasikini uliotukuka ....imagine nikipata hayo maradhi na weza kutumia mali zote kwaajili ya kujiuguza family ikabaki inakula ugali na mchunga Daily kwaajili ya mistake yangu ....We sio mdau??
Weee sikubali nitamng'ata shingo yake😂Eti maza confesa utakubali kabisa jamaa amalize kabisa bila kushuka/kuzama kunako?[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio tuna washauri hapa .... lakini hata ndom za chini huwa ni nadra kuzitumia hizi za mdomo zikija wataweza kuzitumia kweli !!?waunde ndom za mdomo
😂😂😂sawa mzee baba,.Aahh siiogopi saratani au !!? .... mimi sitaki kabisa huo udau wa namna hiyo .... watoto wangu bado wadogo na mimi nikiwa kama mzazi ndio tumaini lao kuu ....... sitaki wabaki mayatima na kuwaachia umasikini uliotukuka ....imagine nikipata hayo maradhi na weza kutumia mali zote kwaajili ya kujiuguza family ikabaki inakula ugali na mchunga Daily kwaajili ya mistake yangu ....
Sent using Jamii Forums mobile app
wakishindwa tutakutana nao kuzimu kabla ya wakati!Ndio tuna washauri hapa .... lakini hata ndom za chini huwa ni nadra kuzitumia hizi za mdomo zikija wataweza kuzitumia kweli !!?
Sent using Jamii Forums mobile app