Msije kusema hamkuambiwa namna Ngono kwa mdomo inavyo sababisha Saratani

Msije kusema hamkuambiwa namna Ngono kwa mdomo inavyo sababisha Saratani

Lengo la JamiiForums ni kuelimisha, kuhabarisha, kuburudisha, kuhamasisha, kuliwaza, kutatua kero mbalimbali katika jamii ambazo zina mfanano na malengo yote niliyo yataja

Hivyo basi sote kwa pamoja/ujumla wetu tuhusike na taarifa hii ..

Asije akatokea mtu nakusema kuwa hajawahi kuambiwa/ kuhabarishwa .Tendo la furaha la dakika 10 tu linaweza kuwa sababu ya kuichukua hatima ya maisha yako na family yako ..

Ila huu ugonjwa nao umekaa mahali pabaya sana.. DAMN IT!

View attachment 1027000

Sent using Jamii Forums mobile app

cc: Wema Sepetu, Hamisa Mobetto, Kajala, Aunty Ezekiel, na wasanii wengine wa bongo movie na fleva wasiojitambua.
 
We sio mdau??
Aahh siiogopi saratani au !!? .... mimi sitaki kabisa huo udau wa namna hiyo .... watoto wangu bado wadogo na mimi nikiwa kama mzazi ndio tumaini lao kuu ....... sitaki wabaki mayatima na kuwaachia umasikini uliotukuka ....imagine nikipata hayo maradhi na weza kutumia mali zote kwaajili ya kujiuguza family ikabaki inakula ugali na mchunga Daily kwaajili ya mistake yangu ....

😂😂😂sawa mzee baba,.
 
Back
Top Bottom