Msije kusema hamkuambiwa namna Ngono kwa mdomo inavyo sababisha Saratani

Msije kusema hamkuambiwa namna Ngono kwa mdomo inavyo sababisha Saratani

Kwahiyo kwa knowledge yako wewe inavyo dhani kwamba wana Jf ni wale wale tu wasiku zote ambao ni mimi na wewe na wengine unao wafahamu .... Jf ni chombo cha habari ambacho kinatumika kumulika mambo mbali mbali katika jamii na ili jamii iweze kutambua thamani ya jambo ama athari zake basi inapaswa kuambiwa mara kwa mara ili ipate kutambua umuhimu wa hilo suala husika ...

Refer matangazo ya kampeni ya nyumba ni choo ambayo yalifanyika takribani mwaka mzima ....

Refer kuhusu mahubiri ya imani yanayofanyika kila siku ..... kama ingelikuwa kuambiwa tu jambo fulani kwa wakati fulani inatosha kuifanya jamii iweze kuelimika na kuachana nalo basi Hiyo mifano niliyoitoa hapo haikupaswa kufanyiwa kampeni/mawaidha ya kila siku ...

Finally napenda kuhitimisha kwamba Jf inapokea watu wapya kila siku " watu hao na wao wana haki yakuhabarishwa kile ambacho hawakuwahi kukiona au kukisikia wakati ambao hawakuwahi kuwa members wa Jf ........

Karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umenishushia gazeti, take it easy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitumbua vinazidi kuingia mchanga hakika hili ni pengo kwa mara ya kwanza kunyonywa dushee nilijikuta naning'inia dirishani huku nimesimamia vidole vya miguu na leo wanasema hivi ni bora asiisikie hii
 
K haina nicotine kama tumbaku,kama ni safi na nimethibitidha imepimwa na kuhakikiwa na wahakiki nalamba tu tuache kutishana.
 
Back
Top Bottom