Msije mkashangaa yule mama Askari akishinda kesi, Nimekumbuka Ile kesi ya zamani ya zombe

yahooo

Senior Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
126
Reaction score
276
Nawataarifu tu wadau huyu mama Askari anayetuhumiwa kuwatuma vijana kufanyia udhalilishaji Kwa Binti wa yombo anaweza akatoboa kinyume kabisa na matarajio ya wengi:
Mfano wa kesi inayotaka kufanana na hii ni Ile ya aliyekuwa bosi wa jeshi la polisi miaka ya Nyumba somebody zombe, alituhumiwa kusimamia mauaji ya wafanyabiashara waliouliwa na polisi wakidhaniwa ni majambazi , alishinda kesi Kwa kigezo kwamba hakushika bunduki..
Najiuliza je huyu mama alibaka
Na je akikana kuwatuma ya kwamba hapo vijana walikuwa wanampango wa kumchafua..
Ngoja tusubiri
 
Kwa Maoni yangu ni kwamba, Kesi hiyo upo uwezekano mkubwa sana kwamba atashinda, lakini ukweli mchungu sana ni kwamba kuchafuka lazima atachafuka Sana, na uchafu huo kamwe hautaweza kusafishwa au kusafishika kwa 'sabuni' ya aina yoyote ile mpaka siku ya mwisho ya maisha yake ya hapa duniani.
 
Ashinde,asishinde kachafuka,haitakaa imtoke kichwani maisha yake yote, pamoja na huyo zombe.
 

Kwani una matokeo yako tayari mfukoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…