Hapo haujajibu kiu ya wanaohitaji katiba mpya.Nililolibaini ni weye kutanguliza hofu na mashaka kichwani na moyoni mwako.You are the captivity of your own negativities!Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.
Mama Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa pili wa urais.
Kipindi nchi ina experience a tumultuous period of economic and political change tulikuwa hatuna katiba hiyo?? You are the captives of our own identity.Hapo haujajibu kiu ya wanaohitaji katiba mpya.Nililolibaini ni weye kutanguliza hofu na mashaka kichwani na moyoni mwako.You are the captivity of your own negativities!
Ilidaiwa mara nyingi ila vibaka wa CCM walijisahau kwamba nchi hii ni ya Watanzania wote.Identity yangu ni jina la ukombozi.Sina negativities za ki-hopeless!Kipindi nchi ina experience a tumultuous period of economic and political change tulikuwa hatuna katiba hiyo?? You are the captives of our own identity.
Sasa hao vibaka wa ccm hata hiyo mpya inayoshadadiwa si wataibaka ndugu?. Tuombe uzima ila wamueche Rais afanye kazi kwasasaIlidaiwa mara nyingi ila vibaka wa CCM walijisahau kwamba nchi hii ni ya Watanzania wote.Identity yangu ni jina la ukombozi.Sina negativities za ki-hopeless!
Bora kujaribu kuidai kuliko kukaa kimya.Na ikipatikana tu haohao vibaka wataishangilia na kuisifu.ππππSasa hao vibaka wa ccm hata hiyo mpya inayoshadadiwa si wataibaka ndugu?. Tuombe uzima ila wamueche Rais afanye kazi kwasasa
Kwamba umeona utushauri kuachana na hii kitu? πππ!Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.
Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa pili wa urais.
Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.
Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa pili wa urais.
Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.
Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa pili wa urais.
Hapana.Unaweza kucheka bila kutarajia(without your awareness) kutokana na maoni ambayo haukutarajia.Jibu amelitoa kama kampiga kelbu.Kwa hiyo umefurahi
Sijashauri kuachana na hiyo kitu, bali vuguvugu lenu mnataka kumuingiza Rais katika matakwa yenu watu wachache, Rais inaonesha kabisa ana nia njema na nchi yake na pia anaonekatana hayuko katika kupinga katiba mpya, hivyo tumpe muda bado ni mapema kumpa joto hilo.Kwamba umeona utushauri kuachana na hii kitu? πππ!
"Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia."
Seriously?!
Si kwamba:
Wanufaika wa Katiba Iliyopo hawahitaji elimu
Katiba Iliyopo ina mapungufu mengi yasiyoweza kuvumilika zaidi. Ni wazi kuwa anayebeza jitihada zozote za kuanzishwa tena kwa mchakato wa kupata katiba mpya kiporo uliobakia, ni kwa sababu tu ya kuwa na uelewa mdogo au ni mnufaika wa moja kwa moja wa katiba mbovu hii iliyopo. Wanaobeza...www.jamiiforums.com
View attachment 1843436
Nakazia: "...... wanatumia mbinu na sababu zozote zikiwamo za kijinga ...."
Hiiiiii bagosha!
Taasisi imara ndizo zitakazoandamana badala yako pale utakapoporwa haki zako ?..huwezi kutengeneza watu waadilifu na taasisi imara bila kuwa na msingi au rejea ktk katiba nzuri.
..kwa mfano, huwezi kupata Waislamu imara au waadilifu bila kuwapa miongozi kutoka ktk Koran.
Taasisi imara ndizo zitakazoandamana badala yako pale utakapoporwa haki zako ?