Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwa katiba bora dikteta hata ikulu hatafika na akifika kwa bahati mbaya kama Trump hatafanya ushenzi wakeJambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.
Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa pili wa urais.