Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

Kwa katiba bora dikteta hata ikulu hatafika na akifika kwa bahati mbaya kama Trump hatafanya ushenzi wake
 
Mkiwa na demokrasia ya kweli dikiteta atapenya wapi? Labda demokrasia ile ya ccm ref. 2015, walivyoletewa mgombea.
 
Hiyo hiyo katiba ndiyo iliyompa nafasi aliyonayo. Watu walikaa chini kuiainisha wangehairisha huenda hata kipengere kilichompa uhalari wa kutawala kisingekuwepo.
 
wewe siyo mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…