Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
AahaaaaaBajeti ya ukarabati ilikua 30B kwa hyo 25% ya bajeti ilikua kwa ajili ya fenicha?
Simba ilitoa 25% kama msaada au issue za kibiashara?
Hivi hili swali lilijibiwa na mleta mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahaaaaaBajeti ya ukarabati ilikua 30B kwa hyo 25% ya bajeti ilikua kwa ajili ya fenicha?
Simba ilitoa 25% kama msaada au issue za kibiashara?
AaahaaaaaNyie ndo matajiri Wenye huruma kuliko matajiri wote niliowahi kuwaona.
Mmetia b8 kuchangia ukarabati uwanja wa serikali, mmeshindwa kuongeza B18 mpate uwanja wenu unaojaza mashabiki 22elfu?
AaaahaaaaMlipo ng'oa na kuvunja viti pale mlipo tandikwa goli na Yanga mlistahili mlipishwe palepale.
Mnacho kifanya sasa ni kurudisha gharama mlizo litia hasara taifa kwa u mbumbumbu mlio ufanya.
Kwani ninyi mlishalipa mlipong"oa viti mara mbili?Ila wenzetu bado hamjalipa mlivyovunja Mageti kugombea fungulia Mbwa.
Pia ghalama za kuingia Bure wakati wa Manjis bado ile milioni 500 haijalipwa hadi hii leo.
Ule uwanja gharama alizotoa Rais ni bil 30.Kwa hiyo na nyie mkatoa 7.5b (25%)?Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa umefunguliwa rasmi kwa Mechi kubwa, ya Kihistoria na ya Kimataifa duniani baina ya Simba SC ya Tanzania na National Al Ahly SC ya kutoka nchini Misri katika Michuano mipya ya African Football League (AFL)
Hongera na hongereni sana Simba SC kwa Utu, Uthubutu na Upendo huu kwa Mpira wa Tanzania na hakika mmetuheshimisha sisi Mashabiki wenu akina GENTAMYCINE na wengineo.
Na Wengine Wavumilie tu kwa sasa ila kama Wageni watakaokuja nchini Tanzania na kukosa magodoro ya kulalia nao wanaweza kujipendekeza kwa kutoa yao ila kwa sharti tu yasiwe na kunguni na yawe yana nyama za kutosha kwa ndani ili yasiumize migongo ya wageni na wakirejea makwao wakaanza kuisema vibaya Tanzania yetu.
Simba itoe wapi hela ya kuchangia uwanja wa Mkapa?Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa umefunguliwa rasmi kwa Mechi kubwa, ya Kihistoria na ya Kimataifa duniani baina ya Simba SC ya Tanzania na National Al Ahly SC ya kutoka nchini Misri katika Michuano mipya ya African Football League (AFL)
Hongera na hongereni sana Simba SC kwa Utu, Uthubutu na Upendo huu kwa Mpira wa Tanzania na hakika mmetuheshimisha sisi Mashabiki wenu akina GENTAMYCINE na wengineo.
Na Wengine Wavumilie tu kwa sasa ila kama Wageni watakaokuja nchini Tanzania na kukosa magodoro ya kulalia nao wanaweza kujipendekeza kwa kutoa yao ila kwa sharti tu yasiwe na kunguni na yawe yana nyama za kutosha kwa ndani ili yasiumize migongo ya wageni na wakirejea makwao wakaanza kuisema vibaya Tanzania yetu.
Umenikumbusha fungu nono la mgao wa super cup swali fikirishi je club ya simba ilinufaika kwa lile fungu kubwa nadhani lilipatikana zaidi ya gharama za ukarabati wa uwanja huo, 'hope it was shared very well', evenly distributedTaarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa umefunguliwa rasmi kwa Mechi kubwa, ya Kihistoria na ya Kimataifa duniani baina ya Simba SC ya Tanzania na National Al Ahly SC ya kutoka nchini Misri katika Michuano mipya ya African Football League (AFL)