Msijifanye hamjui kuwa Simba SC nayo imechangia kwa 25% Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

Nyie ndo matajiri Wenye huruma kuliko matajiri wote niliowahi kuwaona.
Mmetia b8 kuchangia ukarabati uwanja wa serikali, mmeshindwa kuongeza B18 mpate uwanja wenu unaojaza mashabiki 22elfu?
Aaahaaaaa
 
Mlipo ng'oa na kuvunja viti pale mlipo tandikwa goli na Yanga mlistahili mlipishwe palepale.
Mnacho kifanya sasa ni kurudisha gharama mlizo litia hasara taifa kwa u mbumbumbu mlio ufanya.
Aaaahaaaa
 
Ule uwanja gharama alizotoa Rais ni bil 30.Kwa hiyo na nyie mkatoa 7.5b (25%)?

Ishukuru kamati ya CAF na mpango wa TFF kuwa na wazo la kuwa mwenyeji wa michuano ya CAF,la sivyo mngeenda Chamanzi,club yenyewe ina madeni kibao.
 
Simba itoe wapi hela ya kuchangia uwanja wa Mkapa?

Uwanja wa Mudi tu wa kule Bunju (ambao Mudi amewapangisha Simba ila anawadanganya eti ni uwanja wa Simba) Simba imeshindwa kuuchangia, ndo sembuse uwanja wa Mkapa!
 
Umenikumbusha fungu nono la mgao wa super cup swali fikirishi je club ya simba ilinufaika kwa lile fungu kubwa nadhani lilipatikana zaidi ya gharama za ukarabati wa uwanja huo, 'hope it was shared very well', evenly distributed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…