Msijisahau huu ndio wakati sahihi wa kauli mbiu "Mama Anaupiga Mwingi"

Msijisahau huu ndio wakati sahihi wa kauli mbiu "Mama Anaupiga Mwingi"

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Lopolopo kuhusu viwango vya nauli msijisahau tunawakumbusha Mama anaupiga mwingi sasa yuko pande za Marekani, anafanya mwendelezo wa bidii za kuifungua nchi.

Mama anaupiga mwingi, tuache lopolopo nauli kiwango cha chini ni 700 -1000,mpende msipende
 
Nimejikuta nina maswali lukuki yakukuliza ...any way siku ukipata mwanga ndo utajua hujui
 
Braza' tuache kidogo...tupo bize' tunahangaika kuwafundisha jinsi ya kuandika barua za ajira na madogo na vijana wazee' wa 'makamo' waliograduate miaka saba iliyopita.

At list nimeamza kuona vitabasamu vyao na hisia za usomi zikirudi mioyoni. Kuhusu nauli kamuulize Putin'
 
Back
Top Bottom