Msikae mkadhani wataacha kuteka na kuua waTanzania, watu waliamini ufisadi utaisha baada ya Mkapa kuondoka

Msikae mkadhani wataacha kuteka na kuua waTanzania, watu waliamini ufisadi utaisha baada ya Mkapa kuondoka

Duh Aisee

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2025
Posts
1,297
Reaction score
860
Wataua

Watabaka

Watateka tena mchana kabisa Kariakoo

Mpaka mtakaposhtuka na kujua mnahitaji kujitetea, hakuna mzungu atakuja kukutetea kwenye hili, kitu kikubwa wanaweza fanya ni kupiga pini kwenye mikopo.

Na huu ndiyo utakuwa utaratibu, watu watauliwa kila baada ya miaka 5, miili itapotezwa, watu watafunguliwa kesi alafu wataomba maridhiano
 
Iko hivi
Usiruhusu mtu kutekwa, usiruhusu wewe kutekwa.

Acha kulinda amani za watekaji.

Sio unaona mwenzio anatekwa tena sehemu kama Kariakoo wewe unaishia Kupiga picha tu, uko sawa kichwani????

Ukichukuliwa demu ambaye mmekutana tu ukubwani uko tayari kwa lolote alafu swala la uhai wako au wa ndugu au mshkaji unaleta unyonge.

Estimations zangu zinaniambia tarehe 8 mpaka 18, watakuwa barabarani, usiwachekee, linda uhai wako.

Asante, mods msiunganishe, uzi unajitegemea
 
Leo mpaka msemaji anakula bilioni na anakuka kuwavimbia nyie nguchiro

Watu hawaogopi ufisadi tena, na utekaji utakuwa hivi hivi. Watoto wao wa miaka 18 nao watakuwa wanateka watoto wetu chuoni
 
Back
Top Bottom