Iko hivi
Usiruhusu mtu kutekwa, usiruhusu wewe kutekwa.
Acha kulinda amani za watekaji.
Sio unaona mwenzio anatekwa tena sehemu kama Kariakoo wewe unaishia Kupiga picha tu, uko sawa kichwani????
Ukichukuliwa demu ambaye mmekutana tu ukubwani uko tayari kwa lolote alafu swala la uhai wako au wa ndugu au mshkaji unaleta unyonge.
Estimations zangu zinaniambia tarehe 8 mpaka 18, watakuwa barabarani, usiwachekee, linda uhai wako.
Asante, mods msiunganishe, uzi unajitegemea