Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Wakati Yanga ikiwa Mbovu,Ajibu ndo alikua Star,sasa kwa hali ya Makolo kwasasa,nadhani majibu unayo.Je IBRAHIM AJIB amepanda ubora ndio maana Simba anapata namba
AU
Simba imeshuka ubora ndio maana IBRAHIM AJIB anapata namba
maoni yenu wakuu
Kwa hyo Simba n mbovu ndio maana AJIB anapata nafasi?Wakati Yanga ikiwa Mbovu,Ajibu ndo alikua Star,sasa kwa hali ya Makolo kwasasa,nadhani majibu unayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ndilo jibu sahihi. Kuna kipindi Ajibu alikua hamna mtu anamuwaza. Yaani mpaka mkataba alipewa kwa masharti.Kwa hyo Simba n mbovu ndio maana AJIB anapata nafasi?
Kweli utopolo kwa kujifarijiKila msimu unapoanza,
Maneno ni Yanga Bora kupita Simba.
Endeleeni kuongea sisi tunasubiri bingwa wa Ligi.
Tumeisha wazoea.