MSIKIE ALLY KAMWE MCHAMBUZI WA U FM

MSIKIE ALLY KAMWE MCHAMBUZI WA U FM

ajib ni mchezaji mzuri...
 
Kwa simba hii ya sasa, hata wakinipa mimi mkataba wa mwaka mmoja tu na huu umri wangu, bado mwishoni mwa msimu naweza kuwapita Bocco, Mugalu na Kagere kwenye ugungaji bora.
 
Kwa hyo Simba n mbovu ndio maana AJIB anapata nafasi?
Hilo ndilo jibu sahihi. Kuna kipindi Ajibu alikua hamna mtu anamuwaza. Yaani mpaka mkataba alipewa kwa masharti.

We angalia nduguye Makambo,alikua mfalme yeye na Ajibu,sasahivi nani anamkumbuka Makambo!?

Ogopa siku Yanga watamkumbuka Yikpe....[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema ligi haijachanganya ngoja tusubiri ichanganye tuone Makolo FC itakuwaje
 
Back
Top Bottom