Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
na iq yangu ipo sawa na yako
Hapana mm cfanani Iq na ww chambonga
Je kati ya waliokoment apo kuna ambae kamtaja Kiba zaidi yako
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na iq yangu ipo sawa na yako
nawew umeyaamin hayo??
Hapana
Niliposema na kuuliza kuwa nani kasema, inamaan sitambui sauti ya huyo aliezungumza
So unataka nikuelekeze kwa Edo Kumwembe ?
Namaanisha yeye si representative wa Tz huko mitandaoni. So sauti yake hain maana kwa wengine
hapana mm cfanani iq na ww chambonga
je kati ya waliokoment apo kuna ambae kamtaja kiba zaidi yako
Nasubiri niulizwe.
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=10152875273782482&id=709002481&refid=17&_ft_
Tuambie unasema haya kwa mamlaka ya nani?
Kiukweli hata mimi sijaamini kama Eddo huyu ninayemjua na kumheshimu kwa uchambuzi wake yakinifu kuhusu soka anaweza kusema utumbo kama huu.
Hapa kateleza kabisa.
Kiukweli hata mimi sijaamini kama Eddo huyu ninayemjua na kumheshimu kwa uchambuzi wake yakinifu kuhusu soka anaweza kusema utumbo kama huu.
Hapa kateleza kabisa.
Sio kila wakati mtu uwe serious
Ilumbuye!