Msikie Edo Kumwembe kuhusu bifu la Watanzania na Wanaija

Jidanganyeni davido ni msaada sn kwenye ngazi za dai labda kama mnaweka utaifa mbele hata kwny mambo ya kisengeeeeeewee kausheni escrow imeishia wap?
 
Namaanisha yeye si representative wa Tz huko mitandaoni. So sauti yake hain maana kwa wengine

Uyo mleta Uzi aulizwe source ya habar mkaone wenywe kama kweli eddo kaandika kwenye page yyte anayomiliki
 
hapana mm cfanani iq na ww chambonga
je kati ya waliokoment apo kuna ambae kamtaja kiba zaidi yako

kupoteza muda kuqoute post zangu inaonyesha jinsi gani akili yako ilivyo sawa na yangu....nikufundishe... Ungenizidi kidogo ungenyamaza! Na unavyoendelea ndivyo ninavyoona kumbe nimekuzidi iq
 
Kiukweli hata mimi sijaamini kama Eddo huyu ninayemjua na kumheshimu kwa uchambuzi wake yakinifu kuhusu soka anaweza kusema utumbo kama huu.
Hapa kateleza kabisa.

I have never see any comment thats(outside football) useful from this guy

Wanaomfanya ajione ana uwezo wa kuchambua kila kitu ni vilaza wake wa fb ambao hata aseme nini wao wanalike tuuuuu

Sometimes its better astick na issue za mpira tuuu
 
Kiukweli hata mimi sijaamini kama Eddo huyu ninayemjua na kumheshimu kwa uchambuzi wake yakinifu kuhusu soka anaweza kusema utumbo kama huu.
Hapa kateleza kabisa.

Sio kila wakati mtu uwe serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…