McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
kuna jamaa mtaani anakwambia akipata kazi WCB hata ya mpiga kiwi wa WCB anaacha kazi serikalini
Na we umeshobokea ngeli apoUlitakeje!!?
Mkuu ajakosea ila kaponda af na ye kamix apo apoUsikariri wewe kiingereza kina staili nyingi jombaa "this much" ni sahihi kabisa au umezoea kuona "too much" english ya darasa la 3 ambayo hata giggy money anaijua..
(Why ar u so obsessed with me! Girl i wanna know!)Ikifika mwaka 2070 kutakuwa na lugha kuu tatu duniani. English, Spanish and Mandarin (Chinese).
Laazima ufahamu dunia inakokwenda. Wewe na Ali Kiba mnahitaji kufahamu hilo
Huyo hana akili kama wewekuna jamaa mtaani anakwambia akipata kazi WCB hata ya mpiga kiwi wa WCB anaacha kazi serikalini
Acha wenge...Mkuu ajakosea ila kaponda af na ye kamix apo apo
Kihindi vp
(Why ar u so obsessed with me! Girl i wanna know!)
NI MANENO YA KIBA KWAKO MDADA!!!
Andika sentensi hii kwa kiingereza "Baba mimi ni mtoto wako wa ngapi?"Kuongea hiyo lugha ni kitu cha kawaida tu sasa sioni cha ajabu hapo