McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Alexis Sanchez yupo London wakati Antonio Valencia yupo jiji la Manchester hao wote hawajui kiingereza na wanaishi na hao waingereza ila sisi tupo uku Mbagala Kimbangulile tunakaza mishipa ya shingo na iyo lugha wakati kiswahili tu hatajamudu kukiongea na kuandika kwa ufasaha