Uchaguzi 2020 Msikie 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach akituma salamu mahsusi kwa Dkt. Magufuli kuhusu Uchaguzi

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu, sikiliza wana Coco Beach, wanasema nini kwa Magufuli na watamshukurije kwa alicho watendea?

Sikiza mwenyewe

Paskali
 
Ndugu utawehuka muda si mrefu. Tawi uliloshikiria lipo ICC linaandaliwa arrest warrant ICC muda huu
 
Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu,imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima whatsapp call,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchi
 
Wanabodi,

Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu, sikiliza wana Coco Beach, wanasema nini kwa Magufuli na watamshukurije kwa alicho watendea?

Sikiza mwenyewe

Paskali

Katika watu ambao wanakula kilaini kodi zetu licha ya kuwa si mwajiriwa serikali ni huyu Mrisho anaongoza. Mrisho tumjuae wa Mbagala si huyu anayekula bata usiku na mchanakutwa, hii ni faida ya kuwa COLLABORATOR ila Afrika Kusini usijaribu vinginevyo unavishwa tairi la gari shingoni.
Na mimi sikushangai kumsifia kwani mmo ndani ya kiberenge kimoja.
 
Mimi nilimuheshimu sana Pascal Mallaya.

Ila mzee pascal anazidi kuchanganyikiwa kila siku zinavyozidi kwenda.

Unafiki unamtesa na ile kura moja inamtesa sana.

UNATUHARIBIA VIJANA WA TANZANIA NA HUO UNAFIKI WAKO.
Njaa mbaya walimzibia vidili vyake vya matangazo hadi akakosa hela ya kodi mwisho alisalimu amri
 
Huyu jamaa anafikiria tumbo lake tu!! watu wanapotea, wanauawa, wanafungwa kwa kubabikiziwa kesi, wananyimwa dhamana kwa kesi zenye dhamana nk hayo hayamuhusu kabisa... useless.
 
Mimi nilimuheshimu sana Pascal Mallaya.

Ila mzee pascal anazidi kuchanganyikiwa kila siku zinavyozidi kwenda.

Unafiki unamtesa na ile kura moja inamtesa sana.

UNATUHARIBIA VIJANA WA TANZANIA NA HUO UNAFIKI WAKO.
Tatizo anatamani ila anaona aibu kubadili gia angani ...

Najua hilo linamtesa sana ukizingatia heshima aliyopoteza humu JF, halafu si unajua JF wapinzani tupo wengi sasa siku hizi watu wanasoma tu headings then wanapita komments za shombo

Kurudi nyuma hawezi anaona aibu bora afe na tai shingoni akiamini kuna siku Jiwe atamuona na yeye ampe umalaika japo wa wilaya, kwakweli credibility yake imeshuka sana kwa kuramba viatu vya CCM lakini hawamuoni

Kaka P hujachelewa wapinzani hatuna neno karibu huku kambi imenoga kama sio mwaka huu basi 2025 tunambwaga kijani kwa sababu tunamjua hana jipya na hata mwaka huu akipita tutamlegeza sana kwa sababu tutakua na wabunge wengi zaidi ya nusu

# NI YEYE TU 2020
# THE BULLET PROOVE
# THE IRON PRESIDENT
# THE REAL KINJEKETILE BULLET CONDENCER
 
Brother kati ya leo na jumapili nakushauri uwe unapandisha threads angalau 5 kwa siku, hata kama hazina maana au ni repetition.

Muhimu saana kwa matamanio yako na zaidi kwa mwelekeo ulioamua kuchukua. Italipa! Utakuja kunishukuru ifikapo December 2020.
 
Toka wajumbe waku fanye kitu mbaya, naona hadi leo akili azija kaa sawa
 
Wanabodi,

Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu, sikiliza wana Coco Beach, wanasema nini kwa Magufuli na watamshukurije kwa alicho watendea?

Sikiza mwenyewe

Paskali

Kuna maovu mengi na mauji na uonevu mkubwa amefanya jiwe na haujulikani akitoka madarakani 2020 au 2025 yatajulikana na atawajibika kwa hayo.
 
Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu,imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima whatsapp call,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchi
Wanadhan wao wataishi milele, ukikataliwa jawabu ni kuondoka.
 
Back
Top Bottom