Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Ndugu utawehuka muda si mrefu. Tawi uliloshikiria lipo ICC linaandaliwa arrest warrant ICC muda huuWanabodi,
Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu, sikiliza wana Coco Beach, wanasema nini kwa Magufuli na watamshukurije kwa alicho watendea?
Sikiza mwenyewe
Paskali
Tegemeo pekee ni teuzi,ambayo ni ndoto kesho watz wameshaamuaMimi nilimuheshimu sana Pascal Mallaya.
Ila mzee pascal anazidi kuchanganyikiwa kila siku zinavyozidi kwenda.
Unafiki unamtesa na ile kura moja inamtesa sana.
UNATUHARIBIA VIJANA WA TANZANIA NA HUO UNAFIKI WAKO.
Katika watu ambao wanakula kilaini kodi zetu licha ya kuwa si mwajiriwa serikali ni huyu Mrisho anaongoza. Mrisho tumjuae wa Mbagala si huyu anayekula bata usiku na mchanakutwa, hii ni faida ya kuwa COLLABORATOR ila Afrika Kusini usijaribu vinginevyo unavishwa tairi la gari shingoni.Wanabodi,
Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu, sikiliza wana Coco Beach, wanasema nini kwa Magufuli na watamshukurije kwa alicho watendea?
Sikiza mwenyewe
Paskali
Njaa mbaya walimzibia vidili vyake vya matangazo hadi akakosa hela ya kodi mwisho alisalimu amriMimi nilimuheshimu sana Pascal Mallaya.
Ila mzee pascal anazidi kuchanganyikiwa kila siku zinavyozidi kwenda.
Unafiki unamtesa na ile kura moja inamtesa sana.
UNATUHARIBIA VIJANA WA TANZANIA NA HUO UNAFIKI WAKO.
Tatizo anatamani ila anaona aibu kubadili gia angani ...Mimi nilimuheshimu sana Pascal Mallaya.
Ila mzee pascal anazidi kuchanganyikiwa kila siku zinavyozidi kwenda.
Unafiki unamtesa na ile kura moja inamtesa sana.
UNATUHARIBIA VIJANA WA TANZANIA NA HUO UNAFIKI WAKO.
Kuna maovu mengi na mauji na uonevu mkubwa amefanya jiwe na haujulikani akitoka madarakani 2020 au 2025 yatajulikana na atawajibika kwa hayo.Wanabodi,
Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana Benard Mwinuka, akituma salaam mahsus kwa JPM, wao pale Coco Beach, wanamwita Magufuli, Uncle Magu, sikiliza wana Coco Beach, wanasema nini kwa Magufuli na watamshukurije kwa alicho watendea?
Sikiza mwenyewe
Paskali
Wanadhan wao wataishi milele, ukikataliwa jawabu ni kuondoka.Kuua watu ndo mbinu ya mwisho ya viongozi waliokosa vibali machoni pa wananchi. Meko na CCM mmekosa kibali cha watanzania.CCM wana hofu kuu,imagine wanaua watu,wamezima whatsapp call,nasikia leo saa sita mchana bank zinapigwa pini,wamezima whatsapp call,wanazuia SMS,etc.Hii ni hofu ya kukataliwa na wananchi