Msikilize Agrey Mwanri, mmoja ya binadamu wakweli

Ubarikiwe baba ,tutakumiss mzee mwanri kwa kweli.Ulifanya makubwa Tabora.Kila la heri kwenye ustaafu wako.
 
Huyo dingi katumbuliwa kiutuzima sana.
Alijitahidi sana kujipendekeza kwa jiwe, lakini akasahau mambo mawili makubwa, na hayo ndio yamemgharimu.

Kwa sasa ajipange kwenda tu kulima huko west Kilimanjaro, maana kinyang'anyiro cha ubunge huko Siha huenda kikawa ndio kaburi lake la kisiasa mwaka huu 2020.
 
Mwanri amestaafu Kwa Umri. Kama ulikuwa hujui amepitiliza miaka 60 ya umri wa kustaafu kama mtumishi.

Acheni URONGO jamani
Screenshot_20200705_232546.jpg
 
Huyo dingi katumbuliwa kiutuzima sana.
Alijitahidi sana kujipendekeza kwa jiwe, lakini akasahau mambo mawili makubwa, na hayo ndio yamemgharimu.

Kwa sasa ajipange kwenda tu kulima huko west Kilimanjaro, maana kinyang'anyiro cha ubunge huko Siha huenda kikawa ndio kaburi lake la kisiasa mwaka huu 2020.
Jamaa ni timu Membe ndio maana kaondolewa na si kustaafu kama taarifa ilivyosemwa sababu yeye ana 65 na aliemrithi ana 69. Asijiloge akaingia kwenye mchakato wa Ubunge heri hizo hela awekeze.
 
Back
Top Bottom