Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Yaani mtu Ana miaka 64 unasema ametumbuliwa? Kufanya kwake kazi vyema kulimfanya Mh. Rais amuache na hakuruhusiwa kustaafu. Siku hizi ukifikisha tu miezi 3 kabla ya 60 yrs unakumbushwa kustaafu na hakuna kupitiliza. Mwanri aliruhusiwa kuendelea. Kabla hamjaandika nambo mengine ni bora mtu awe na data kabisa. Mwenzio amezaliwa 1956.Huyo dingi katumbuliwa kiutuzima sana.
Alijitahidi sana kujipendekeza kwa jiwe, lakini akasahau mambo mawili makubwa, na hayo ndio yamemgharimu.
Kwa sasa ajipange kwenda tu kulima huko west Kilimanjaro, maana kinyang'anyiro cha ubunge huko Siha huenda kikawa ndio kaburi lake la kisiasa mwaka huu 2020.