Msikilize Agrey Mwanri, mmoja ya binadamu wakweli

Yaani mtu Ana miaka 64 unasema ametumbuliwa? Kufanya kwake kazi vyema kulimfanya Mh. Rais amuache na hakuruhusiwa kustaafu. Siku hizi ukifikisha tu miezi 3 kabla ya 60 yrs unakumbushwa kustaafu na hakuna kupitiliza. Mwanri aliruhusiwa kuendelea. Kabla hamjaandika nambo mengine ni bora mtu awe na data kabisa. Mwenzio amezaliwa 1956.
 
Kuanzia Miaka 55(Hiari) mpaka 60 ila mmalaka ya uteuzi inaweza kukuongezea muda

Hii ni kwa Watumishi wa Umma. Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Mawaziri hawabanwi na hili kwa sababu vyeo vyao ni vya kisiasa.

Majaji pia wana umri tofauti wa kustaafu.

Amandla...
 
Jamaa ni timu Membe ndio maana kaondolewa na si kustaafu kama taarifa ilivyosemwa sababu yeye ana 65 na aliemrithi ana 69. Asijiloge akaingia kwenye mchakato wa Ubunge heri hizo hela awekeze.
Haswaaaaa..atulie tu bc
 
Kwahiyo hajatumbuliwa?? Jiongeze weye
 
Huyo jamaa anaenda kugombea ubunge, ndo maana kastaafishwa ili arud kweye wizara Fulani
 
Unaona raha gani kuongea uongo?
Kutumbuliwa kiutuzima ni kupi huko?
Cv ya Mwanri ipo wazi,mwaka wake wa kustaafu tayari
 
Unaona raha gani kuongea uongo?
Kutumbuliwa kiutuzima ni kupi huko?
Cv ya Mwanri ipo wazi,mwaka wake wa kustaafu tayari
Aliyeteuliwa kuchukua nafas yake ni mkubwa kiumri kuliko Mwanri...nayo unatuambiaje
 
Naomba kufahamu umri wa kustaafu wa wakuu wa Mikoa kisheria
Hadhani hakuna umri sahihi kwasababu Mwamri "amestaafu" akiwa na 65 lakini aliyemrithi ana umri mkubwa kuliko Mwanri.
 
Aliomba kustaafu muda tu. Uliza kwa wsnaomjua huyu ni waziri wa baraza lijalo.
 
Ukiangalia wengi walioenguliwa kwenye nyadhifa zao ni ambao wameonyesha dalili za kutaka kugombea Ubunge, na mzee baba alishakataza hili la wateule wake kutaka au kuonyesha nia ya kugombea.
 
Huyu atakuwa ameahidiwa uwaziri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…