Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
.
Kocha Mkuu wa klabu ya As Vita Club Florent Ibange amesema kuwa hakuwahi kutegemea kuona katika kundi lao ambalo walipangwa kundi D kama klabu ya Simba ingepita na kutinga hatua ya robo fainali kwani yeye kama kocha wa As Vita Club katika kundi hilo alitegemea kuona timu yake ikipata upinzani kutoka kwa Al Ahly pekee
..
Pia Florent Ibange amesema kuwa alichokutananacho katika kundi hilo hawezi kusahau timu ambayo alidhani ni mbovu imepita
.
Florent Ibange nilikosea kuitazama Simba kama ni timu mbovu kiukweli Simba Sio timu ya kuiletea utani katika mechi muhimu nimengudua kuwa timu hii huwa inapambana zaidi katika mechi ambazo zinaitoa timu sehemu moja kwenda sehemu nyingine
.
Pia nilishangazwa na aina ya wachezaji ambao ni bora wakiwa wako katika timu hii ya Simba najiuliza hawa wachezaji Simba imewatoa wapi wakati As Vita Club inasaka wachezaji kila kukicha inashindwa kuwapata wachezaji wenye ubora kama walioko pale Simba
.
Kikweli ni timu yenye wachezaji wenye vipaji vikubwa nimevutiwa sana na uwezo wa wachezaji wao Simba Sc
.
Timu hiii inaweza kufika mbali kama wataonyesha ushirikiano kwa kocha wao Aussems ni kocha bora sana hata Mimi siku zote huwa namkubali sana Aussems
.
As Vita tumefungwa na Simba licha ya kuwa inaumiza ila haya ni matokeo ya kimchezo kikubwa Simba wanastahili pongezi
.
Kocha wa As Vita Club Florent Ibange.
Sent using Jamii Forums mobile app