Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Siwezi kuwaombea mafanikio Simba. Watoke, waje mchangani huku na spray zao.Badala ya kuomba wafanye vizuri nanyi mpate nafasi ya kushiriki mashindano makubwa wewe unaombea washindwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuwaombea mafanikio Simba. Watoke, waje mchangani huku na spray zao.Badala ya kuomba wafanye vizuri nanyi mpate nafasi ya kushiriki mashindano makubwa wewe unaombea washindwe?
Iko wapi hiyo audio tumsikilize?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hahaaah spray ndo ilisababisha tukawatia kile kimoja...lazima muweweseke sababu marinda hakuna sahivi😂😂😂Siwezi kuwaombea mafanikio Simba. Watoke, waje mchangani huku na spray zao.
Kweli.Kwani unafikiri wote wana ubaradhuli wa kununua kama Utopolo. Wengine hawaukwepi ukweli.2 years ago today..
Sema ibenge ni Muungwana sana.
He never talked a sh*t about Simba.