Msikilize Florent lbenge Kocha wa AS VITA, akiizungumzia SIMBA

Msikilize Florent lbenge Kocha wa AS VITA, akiizungumzia SIMBA

Badala ya kuomba wafanye vizuri nanyi mpate nafasi ya kushiriki mashindano makubwa wewe unaombea washindwe?
Siwezi kuwaombea mafanikio Simba. Watoke, waje mchangani huku na spray zao.
 
Siwezi kuwaombea mafanikio Simba. Watoke, waje mchangani huku na spray zao.
Hahaaah spray ndo ilisababisha tukawatia kile kimoja...lazima muweweseke sababu marinda hakuna sahivi😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Tui
2 years ago today..
Sema ibenge ni Muungwana sana.
He never talked a sh*t about Simba.
 
2 years ago today..
Sema ibenge ni Muungwana sana.
He never talked a sh*t about Simba.
Kweli.Kwani unafikiri wote wana ubaradhuli wa kununua kama Utopolo. Wengine hawaukwepi ukweli.
 
Back
Top Bottom