Msikilize Jerry Muro akimdhalilisha Mwandishi wa kike

Msikilize Jerry Muro akimdhalilisha Mwandishi wa kike

mm ni mnazi wa Yanga lakini matamshi ya Jerry Muro yamenisikitisha sana.....hayakuwa na element yoyote ya ethics za uandishi wa habari . je angekuwa mwanaume angetoa matamshi kama Yale!???? so disappointed
 
kanifuraisha sana uyo dada pale mwisho alipouliza UMEMALIZA?
 
Tulishaonya toka zamani kuhusu huyu mtu, tukapuuzwa. Kuna uzi mmoja nilikwenda mbali kuomba asaidiwe bado mapema kutokana na unyeti na ukubwa wa klabu anayoiwakilisha, tukaoonekana wapuuzi, lakini nakuambia iko siku wanaomshabikia sasa watatamani kuurudisha muda nyuma lakini itakuwa too late.

Narudia asaidiwe sasa kama haikuwezekana juzi, kuendelea kumsifia ni kumharibu zaidi.
 
Moro atampigania muhind had tone la mwisho, ndye anayemfanya aende choooni
 
Kuwa tu shabiki wa Yanga au Simba lazima uwe na kaujiwehu flani,je kuwa msemaji wa hizo club je?
 
Back
Top Bottom