Tulishaonya toka zamani kuhusu huyu mtu, tukapuuzwa. Kuna uzi mmoja nilikwenda mbali kuomba asaidiwe bado mapema kutokana na unyeti na ukubwa wa klabu anayoiwakilisha, tukaoonekana wapuuzi, lakini nakuambia iko siku wanaomshabikia sasa watatamani kuurudisha muda nyuma lakini itakuwa too late.
Narudia asaidiwe sasa kama haikuwezekana juzi, kuendelea kumsifia ni kumharibu zaidi.