Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tune sasa hivi umsikie Lady Jaydee akitoa msimamo wake juu ya msiba wa mwanamziki mwenzake Mangwair.
Hii inakuja baada ya Mwana FA kuahirisha shoo yake ya the Finest iliyokuwa ifanyike ijumaa 31/05/2013 baada ya msiba wa mangwair.
Anashindwa kueleza analia. Kifupi ameeleza jinsi walivyokuwa karibu na Ngwair kimuziki na kutokana na msiba huu ameahirisha shoo yake ya ijumaa 31/05/2013 hadi pale atakapotangaza shoo tena
Ameelezea kuwa Ngwair alikuwa mshkaji wake sana sbb alikuwa anapenda kujirusha na katika viwanja vyake amekuwa akikutana sana na Jide. Ameahirisha shoo yake hadi pale atakapotoa taarifa
Mtoa mada, siku nyingine ukiwa na habari kama hizi uwe unajitahidi kutupa updates za kinachoendelea japo kwa kifupi maa wengine tupo maeneo ambayo kituo ulichotaja hakisikiki wala hakijawahi sikika.