Msikilize Lady Jaydee Ea radio akitoa msimamo juu ya kifo cha ngwair

Msikilize Lady Jaydee Ea radio akitoa msimamo juu ya kifo cha ngwair

Nilisoma sehemu kua ticket za shoo ya Lady Jaydee zimeisha! vipi kwa hao waliokata ticket je kuna matarajio ya kurudishiwa hela zao au?
Hata mimi nina ticket tayari lakini hainiumizi kichwa zaidi nasikitika tu na kifo cha huyu msanii,hongera Komandoo kwa kuahirisha show na nipo pamoja nawe katika hili.
 
Mkuu hujajua tu kuwa watanzania wengi wanaoishi Dar huwa hawafikiri kuwa Tanzania ni zaidi ya Dar?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mkuu kibaravumba umenifumbua macho aisee, kumbe sisi tunaoishi sehemu kama Mtwara, Lindi, Kigoma, Songea, Mara, nk hatutambuliki kama Watanzania!? Ndiyo maana mtu yuko Dar anasikiliza labda magic fm atakurupuka kuweka uzi "msikilize flani yuko live magic", sasa mtu wa Mara huko wilaya kama Musoma vijijini sijui kama ataipata hiyo magic fm. Tubadilike.
 
Last edited by a moderator:
aisee so jide siku hizi yupo EA radio, kweli maisha yanabadilika
 
Hawa wasanii wasaidiane kuleana kimaadili ili waishi muda mrefu na watoto wa watoto wao waje kushuhudia mafanikio yao! Mambo ya kulia tu baada ya watu wao wa karibu ambao walijua maisha yao ni hatarishi na hawakuwasaidia wanapoaga dunia itaendelea kutokeo kama hawatajirekebisha! Life style za wasanii wazichunguze na wajirekebishe ni hatarishi kwa maisha hako!

Itakuwa kama vipofu kuongozana, asilimia kubwa ya wasanii maarufu wa kizazi kipya ni mateja, sasa nani atamlea mwenzake? JD mwenyewe mtumiaji mzuri wa hizo drugs.
 
We matola n msengeeee wa ru gay nn? Jide na ngwear n best sana, na wamepiga song km mbili ambazo n Kali, dats y ameguswa na kifo chakeeeee. So acha propaganda ---- ww
hata bila ubest ni msanii mwenzake khu majitu mengine yakoje humun jamani ushabiki gani huu
 
Yani we mleta mada vipi? Utadhani tunasikia wote hiyo redio!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Nadhani mdeki umepata update za kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Hao suckers nao wahairishe bac shows zao,Mwaka huu hakuna anaye wasapoti lazima Wakae...
 
Halafu eti wamesha mtungia wimbo,nausikia sasa hivi clouds.
 
Wazee Tanzania ni zaidi ya Dar, hizo Radio Station na TV Stations nyingi huku kwetu hazipo, tunaitegemea JF sasa usije na wito njoo na habari utusaidie na sisi.

Rest In Peace CowBoy Ngwear. Anaconda ulofanya la msingi sana
 
Hongera jide kwa ubinadamu rip mangwea
 
Wazee Tanzania ni zaidi ya Dar, hizo Radio Station na TV Stations nyingi huku kwetu hazipo, tunaitegemea JF sasa usije na wito njoo na habari utusaidie na sisi.

Rest In Peace CowBoy Ngwear. Anaconda ulofanya la msingi sana

Mdau naunga mkono hoja yako.
 
we wa wapi? Jide ameshaahirisha show yake kitambo. uwe unafatilia habari kabla hujapost kitu usichokuwa na uhakika nacho.
 
Back
Top Bottom