Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,089
Hata mimi nina ticket tayari lakini hainiumizi kichwa zaidi nasikitika tu na kifo cha huyu msanii,hongera Komandoo kwa kuahirisha show na nipo pamoja nawe katika hili.Nilisoma sehemu kua ticket za shoo ya Lady Jaydee zimeisha! vipi kwa hao waliokata ticket je kuna matarajio ya kurudishiwa hela zao au?