Msikilize Mbowe kabla na baada ya kifo cha Hayati Magufuli, inaonekana anajutia kwanini hakumuunga mkono

Msikilize Mbowe kabla na baada ya kifo cha Hayati Magufuli, inaonekana anajutia kwanini hakumuunga mkono

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Ukisikiliza Kauli hii ya mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe utagundua kuwa hata yeye anajutia kwanini hakumuunga mkono Magufuli.

Kauli zake zinapingana sana kabla na baada ya Magufuli kufa.

 
Watu wapi kazin ...kujaza uongo...kusambaza chuki...n.k
Hakuna uongo wala chuki yoyote, msaliti toka Zanzibar amezitoa bure bandari zetu watanganyika milele kwa wajomba zake wa kiarabu, huu ni ukweli na lazima aambiwe kwa sauti ya kutosha.
 
Hizo ni kauli tu ambazo zinakuja kulingana na jambo linalozungumziwa kwa wakati husika, ndio maana hata Lissu nae ukimfuatilia kwa makini utaona kuna jambo akiwa analizungumzia, basi kutokana na jambo hilo akimtaja Magufuli inamlazimu kumtaja kwa nia njema, kama anapokuwa akizungumzia kuhusu kulinda rasilimali za Tanganyika.

Unaposema Mbowe anaonekana kujutia kumuunga mkono Magufuli, hapo sikubaliani nawe, Mbowe hakuwa na tatizo personal na Magufuli, ndio maana akamwambia anataka maridhiano, lakini Magufuli akagoma, sasa kama Magufuli aliyagomea maridhiano ya kuwaunganisha watanganyika licha ya unyama aliomfanyia Mbowe, unataka ajutie kitu gani tena..
 
Wanasiasa wanapokinzana sio kwamba hakuna mazuri wanayoyakubali baina yao...

Hata sasa ukimuuliza Mbowe juu ya mazuri ya SSH, atataja mambo mengi tu mazuri...
 
Back
Top Bottom