Msikilize mwananchi aliyekutana na kuongea live na Yesu

Msikilize mwananchi aliyekutana na kuongea live na Yesu

Zumaridi, Geor Davie Kila siku wanapiga na Yesu story mpaka anaomba lifti kwenye gari ya nabii!

Ndugu zetu hakuna kichaka Cha kufuru ambacho hamtaingia, kwa sababu dini nzima ilijengwa juu ya kufuru! Kuleni matunda yake!
 
Hatujui sura ya Yesu kimwili kwani eliyemwena ni mwigizaji mashuhuri siyo yesu.Yeye angesema amekutana na Yesu rohoni mwake angeeleweka na wengi.
 
Ukiona shuhuda zinakuwa nyingi, ujue kuna ukweli 💯%. Mbona wenzetu hawajawahi kushuhudia kukutana live na mtume wao?
Wapi tulikwambia amefufuka? Au kuna aya umesoma kuwa mtume yuko hai hadi akutane na watu? Hata picha yake haipo.
Maria mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.
 
Kuhusu kama yupo au hayupo hai tuwasubiri wenyewe waje mkuu.
 
I have seen many false beliefs, but this belief of kufar(makafiri) is filled with deception.
 
Hawajawahi kushuhudia kwasababu mtume wao hakuwahi kusema kwamba atarudi.
Sasa wao kumbe wanaamini nini? Ile siku ya kiyama wanayosema ina maana gani?
 
I have seen many false beliefs, but this belief of kufar(makafiri) is filled with deception.
Mkuu unamaanisha kaffir? Hao jamaa wanaowaita watu makaffir ni waongo sana aisee!
 
Back
Top Bottom