Msikilize mzee Akilimali,huyu mzee anamaono ya mbali sana tumulinde atatusaidia sana sisi wanayanga.

Hicho kizee kinajua wale watu wake waliotaka kuwekwa na TFF kwisha habari yao.
Mbona Waziri Mwakyembe kakubali hoja za Mkuchika?
Viongozi wote waliopo wamejiuzuru anataka apewe yeye?
 
Nawaombea mpate japo kombe la shirikisho tu(TPL imeshakula kwenu), mkikosa hiyo mtavunjana meno hakika
 
Nimemsikiliza Akilimali,naona kuna kitu kinafukuta Yanga,jamani pambaneni kisilipuke. Kwani Try-Again na wenzie waliwezaje kufanikisha Simba
 
Hakuna jipya Kamanda. Kumbuka akina Bi. Hindu mwanzoni mwa mchakato wenu. Hao watakuwepo siku zote. Kikubwa, sio wao kama wao, wanatumiwa tu.
Tuseme ukweli, Bi. Hindu au Mzee Akilimali wanaujua mfumo wa kampuni?
 
Hahahaha Daaah umenikumbusha Mbali akina Bi Hindu, mzee Kilomoni hata Julio hadi clip yake ninayo walikuwa wanapinga sana mfumo wakati ukisema tuichangie timu Laki moja moja kila mwaka hawana ila hawa wazee Sijui baraza la ushauri la wazee ni kuwafuta tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom