...to see msanii wa bongo flavour akiongea kizungu na kumwaga point
Dada anaimba vizuri. Na anapendeza na style yake. Anastahili kuzidi kupanda zaidi na zaidi.
Na ningependa zaidi kumuelewa hapo "alipomwaga pointi" maana kaniacha kidogo solemba. Kaulizwa kuhusu mwimbo wake Mr. Politician ulivyo pata sapoti na mvuto, akaporomoka hivi:
"Because it is speaking the truth, you know, we are all frustrated, we are all frustrated, I don't care what is put out there, and how we 're made to look like, you know, they are having a good time, no, we are very frustrated by the way things are going.
"I always say this, now you're dealing with a generation of Africans that is so much more exposed, this is not that generation of Africans that are living in the village, don't have shoes on.
"This is a very different type of Africa that I feel has not been exposed, but we think about this, we express ourselves and we talk about this, hence the [kakatwa]..."
Ame paint picha tatu za jamii yake moja hiyo hiyo:
1) Jamii ya watu frustrated sana na mambo yanavyokwenda
2) Jamii ya watu wanaoonyeshwa kwamba wana neema sana, mambo mswano, wakati sio.
3) Jamii ya watu exposed, modern, expressive, ambao sio wa kukaa vijijini tena, kuvaa ndala
Kwa kuanzia, ningependa kujua ni nani huwa anajaribu kuonyesha kwamba jamii za Tanzania, za Africa, mambo yao safi, hawako frustrated, ni press ya Tanzania, au Kikwete wa CCM anaesema hajui kwa nini Tanzania ni masikini, ama Western Media wanaoonyesha vitoto na nzi midomoni, na mabakuli ya uji, na utapiamlo?
Na hii jamii yake anayoiongelea ambayo si tena ya kuishi vijijini kuvaa ndala, ni ipi hiyo anaiongelea huyu msanii?
Anasema yeye ni "country girl," so she can tell us, she should know maisha ya huko upcountry kwao, vijijini kwake, Nairobi, Arusha, na Dar-es-salaam, miji aliyo zaliwa, kusoma na kuishi!
Kana Ka Nsungu, nisaidie kuelewa huko "kumwaga pointi" kwa huyu msanii "country girl."