Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kwa hali inavyooendelea mashariki ya kati dhidi ya iran kuishambulia israel ni wazi msikiti wa al aqsa unaenda kubomolewa kwa kisingizio cha iran anaishambulia israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel anatafuta namna ya kuubomoa ila anashindwa ila kwa hali ilivyo ameshapata sababu anataka kujenga hekalu la suleima lililobomolewa na nebukadrezaMsikiti hauwezi kubomolewa na yoyote kati ya Israel na Iran mana kila mmoja ana historia na huo msikiti
Msikiti hauwezi kubomolewa na yoyote kati ya Israel na Iran mana kila mmoja ana historia na huo msikiti
Kuna vitu hawa ndugu zetu hawafikiri mbaliWanauvunja wayahudi wenyewe wanajifanya mabomu ya Iran ndio yameshambulia na kuvunja.
Halafu wanaanza battle ya kuifuta iran na mwarabu yeyote atakayeingilia..
Saudi arabia akijichanganya akaingilia wanaifuta na makka na madina zote kisha saudi arabia wanamuweka mtawala mpyaa.. kama walivyofanya kwa Ghadaffi na Saddam Hussein
Aunganishe wapi kuna uzi kama huuMods unganisheni huu uzi
Amka amka utajikojoleaWataouvunja huo msikiti wa Al Aqsa ni wayahudi wenyewe wanajifanya mabomu ya Iran ndio yameshambulia na kuvunja.
Halafu wanaanza battle ya kuifuta iran na mwarabu yeyote atakayeingilia..
Saudi arabia akijichanganya akaingilia wanaifuta na makka na madina zote kisha saudi arabia wanamuweka mtawala mpyaa.. kama walivyofanya kwa Ghadaffi na Saddam Hussein
Waunganishe hata kwenye uzi wa kula tunda kimasiharaAunganishe wapi kuna uzi kama huu
Unachekesha sanaWataouvunja huo msikiti wa Al Aqsa ni wayahudi wenyewe wanajifanya mabomu ya Iran ndio yameshambulia na kuvunja.
Halafu wanaanza battle ya kuifuta iran na mwarabu yeyote atakayeingilia..
Saudi arabia akijichanganya akaingilia wanaifuta na makka na madina zote kisha saudi arabia wanamuweka mtawala mpyaa.. kama walivyofanya kwa Ghadaffi na Saddam Hussein
Hawawezi ujenga sababu mpaka sahivi israel ndo anayeamua wasali au wasisali kwenye huo msikitikama una umuhimu sana ukibomolewa utajengwa tena akuna shida.ni twiga au Dangote cement fundi maiko anainua ukuta chap kazi kwisha.
ngoja tuone Mungu ajalie vita ichanganye ijulikane mbivu na mbichi.Hawawezi ujenga sababu mpaka sahivi israel ndo anayeamua wasali au wasisali kwenye huo msikiti
Msikiti hauwezi kubomolewa na yoyote kati ya Israel na Iran mana kila mmoja ana historia na huo msikiti
InshallahKwa hali inavyooendelea mashariki ya kati dhidi ya iran kuishambulia israel ni wazi msikiti wa al aqsa unaenda kubomolewa kwa kisingizio cha iran anaishambulia israel
Wameshindwa Syria kule Assad anadunda kwa middle east ukitaka regime yako isurvive weka alliance na wairan basi kama Assad wa Syria mfano Saudia ufalme ukianguka basi saudia inakuwa chini ya iran kama iraq alivoanguka saddam na wairan walisaidia sasa hivi iraq ni proxy ya iran muiran ndio anacontrol na influence kubwa ndani ya iraq since 60% ya population ni washia kama wao mpaka kesho watu wanajuta kwa nini walimuangusha Saddam adui wa iran maana wameipa nguvu zaidi iran .Wataouvunja huo msikiti wa Al Aqsa ni wayahudi wenyewe wanajifanya mabomu ya Iran ndio yameshambulia na kuvunja.
Halafu wanaanza battle ya kuifuta iran na mwarabu yeyote atakayeingilia..
Saudi arabia akijichanganya akaingilia wanaifuta na makka na madina zote kisha saudi arabia wanamuweka mtawala mpyaa.. kama walivyofanya kwa Ghadaffi na Saddam Hussein
tusishangilie hii hali! itatuletea athari kubwa sana! tujandae mafuta kufka elfu 10 kwa litaWataouvunja huo msikiti wa Al Aqsa ni wayahudi wenyewe wanajifanya mabomu ya Iran ndio yameshambulia na kuvunja.
Halafu wanaanza battle ya kuifuta iran na mwarabu yeyote atakayeingilia..
Saudi arabia akijichanganya akaingilia wanaifuta na makka na madina zote kisha saudi arabia wanamuweka mtawala mpyaa.. kama walivyofanya kwa Ghadaffi na Saddam Hussein
Humu kumbe wengi hamna uelewa wa mambo ya middle east.Wataouvunja huo msikiti wa Al Aqsa ni wayahudi wenyewe wanajifanya mabomu ya Iran ndio yameshambulia na kuvunja.