Msikiti wa Al Aqsa hauna muda mrefu utabomolewa na Israel

Wataouvunja huo msikiti wa Al Aqsa ni wayahudi wenyewe wanajifanya mabomu ya Iran ndio yameshambulia na kuvunja.

Halafu wanaanza battle ya kuifuta iran na mwarabu yeyote atakayeingilia..

Saudi arabia akijichanganya akaingilia wanaifuta na makka na madina zote kisha saudi arabia wanamuweka mtawala mpyaa.. kama walivyofanya kwa Ghadaffi na Saddam Hussein
Watu tuna vituko humu ndani!
Eti battle ya kuifuta Iran!
 
Wataouvunja huo msikiti wa Al Aqsa ni wayahudi wenyewe wanajifanya mabomu ya Iran ndio yameshambulia na kuvunja.

Halafu wanaanza battle ya kuifuta iran na mwarabu yeyote atakayeingilia..

Saudi arabia akijichanganya akaingilia wanaifuta na makka na madina zote kisha saudi arabia wanamuweka mtawala mpyaa.. kama walivyofanya kwa Ghadaffi na Saddam Hussein
Umeandika ujinga hadi nimesikitika sana
 
Back
Top Bottom