Msikiti wa Al Aqsa ndiyo Hekalu la Suleman?

Dini ni ugonjwa mbaya sana wa akili,hii nyani ikienda hapo dafur inauliwa na janjaweed waislamu wenzake.
Binafsi nilishaachana na Dini,

Ukristo sio dini

Dini ni harakati/juhudi za mwanadamu kumtafuta Mungu

Ukristo ni harakati/ juhudi za Mungu kumtafuta mwanadamu, ndio maana tunaona Yesu anakuja duniani kumtafuta mwanadamu,anasema Kwa mfano wa kondoo 100 ,yupo tayari kuacha 99 kumtafuta mmoja
 
Sijakuelewa Unataka Maanisha Nini Au Mnataka Waislamu Tuwaachie Huo Msikiti ?.Waislamu Na Wayahud Tuna Jambo Letu Nyie Wakristo Kaeni Pembeni Msiingilie Wasiyowahusu.Mbona Papa Kakaa Kimya Hajachukua Kikosi Kwenda Kulichukua Hilo Hekalu.Al Aqsa Ni Msikiti Ndo Maana mpaka Leo Umebaki Kuwa Msikiti Tangu Enzi Za Nabii Suleiman Na Utabaki Kuwa Msikiti Mpaka Kiyama Hatatokea Myahud Wala Mkristo Kuuchukua Milele
 
I think maybe you forgotten that jerusalem is also centre of great religion of christianity the birth place of jesus
Nyosha vzr Yesu hakuzaliwa Yerusalemu. Ikae kwa hansad
 
Ukweli mtupu.
Unapoongelewa Jews huwezi kutenganisha na judism ambayo ni imani. Na unapoongelea Arabs huwezi kutenganisha na islamic ambayo ni Imani. Wale minority wanatoka nakuwa idha christian sio issue kwao. Ni sawa na Waafrika na taboo zao ambapo wengine wamekuja kuwa Christian na Islam lkn originaly hawakuwa na hawana miji ya kiimani ndani ya Afrika au huko middle east isipokuwa wale Christian na Islam.
Na Wakristo na waislam wenye uelewa kwa Mungu hawawezi kuamini eti Mungu yuko centred ktk miji fulani au huko ndiko hupatikana na kutoa baraka. Maana kwa kuamini hivyo wanakiri kuwa inferior kwa wenyeji wa miji hiyo yenye huo Mungu apatikanaye kwenye maeneo hata kama watu wa miji hiyo ni waovu kuliko Waafrika wasio na dini hizo
 
No untill is agreed between parties it will remain in question who owns the lands question of east and west jerusalem.
until then is question mark
Wala usitumie akili kubwa kama kuvuka kwenye zebra cross. Jiulize tu nani amekuwepo kabla ya mwingine Jews with their Judaism or arabs with their Islamic faith. Wala usitake kujua eti wale wazee walikuwa na imani gani?
 
Sijakuelewa Unataka Maanisha Nini Au Mnataka Waislamu Tuwaachie Huo Msikiti ?.Waislamu Na Wayahud Tuna Jambo Letu Nyie Wakristo Kaeni Pembeni Msiingilie Wasiyowahusu.Mbona Papa Kakaa Kimya Hajachukua Kikosi Kwenda Kulichukua Hilo Hekalu.Al Aqsa Ni Msikiti Ndo Maana mpaka Leo Umebaki Kuwa Msikiti Tangu Enzi Za Nabii Suleiman Na Utabaki Kuwa Msikiti Mpaka Kiyama Hatatokea Myahud Wala Mkristo Kuuchukua Milele
Umedanganywa ukadanganyika
 
Ukweli mtupu.
Unapoongelewa Jews huwezi kutenganisha na judism ambayo ni imani. Na unapoongelea Arabs huwezi kutenganisha na islamic ambayo ni Imani. Wale minority wanatoka nakuwa idha christian sio issue kwao. Ni sawa na Waafrika na taboo zao ambapo wengine wamekuja kuwa Christian na Islam lkn originaly hawakuwa na hawana miji ya kiimani ndani ya Afrika au huko middle east isipokuwa wale Christian na Islam.
Na Wakristo na waislam wenye uelewa kwa Mungu hawawezi kuamini eti Mungu yuko centred ktk miji fulani au huko ndiko hupatikana na kutoa baraka. Maana kwa kuamini hivyo wanakiri kuwa inferior kwa wenyeji wa miji hiyo yenye huo Mungu apatikanaye kwenye maeneo hata kama watu wa miji hiyo ni waovu kuliko Waafrika wasio na dini hizo
Waislamu Someni vitabu na historia ,mtadanganywa na kutapeliwa mpaka lini?

Ukisoma jinsi Hekalu la Suleman lilivyojengwa pamoja na fanicha zake
utaona ni mbali kabisa na msikiti huo. Ndani yake lilikuwa kama ifuatavyo:

1.Hekalu lilikuwa na vyumba viwili vilivyotenganishwa na Pazia. Cha kwanza kikiitwa Patakatifu na cha pili kikiitwa patakatifu pa patakatifu.

2.Chumba cha kwanza kikiwa na meza ya dhahabu yenye mikate 12, kuna kinara cha taa 7
na madhabahu ya kufukiza uvumba.Humu waliingia makuhani pekee kuhudumu.

3.Chumba cha pili, kina sanduku la agano lenye makerubi juu yake na ndani yake kuna mbao mbili za mawe zenye amri 10 za Mungu. Pia alijenga makerubi mawili makubwa yakawa upande wa kulia na kushoto wa sanduku la agano. Humu aliingia kuhani mkuu peke yake
kwa mwaka mara moja kufanya upatanisho wa taifa.

4.Nje ya Hekalu kulikuwa na ua wa nje wenye madhabahu kubwa ya kutolea dhabihu za kuteketezwa pamoja na birika kubwa la maji.

5.Ndani ya kuta za Hekalu alichora picha za miti ya mizaituni na makerubi

Sasa tujiulize, huo msikiti wa Al aqsa una mambo kama hayo ndani yake na nje yake? Jibu ni la!

Na laitiungekuwa nayo basi leo Wayahudi wasingesumbuka na mipango ya kujenga Hekalu lingine, wangeliteka tu na kuendeleza ibada zao.Na hoja ya kuchora pichana makerubi kwa Uislamu ni ukafiri, hivyo kwa vyovyote vile Hekalu hilo halikuwa msikiti.

Juu ya jinsi Hekalu la Suleman lilivyojengwa ona 1 Wafalme sura yote ya 6.Pia katika lugha ya Kiarabu msikiti na
Hekalu ni vitu viwili tofauti.

Mfano tukisomamQuran 22:40 kwa kiingerezainasema hivi:

(They are) those who have been expelled from their homes in defiance of right,-(for no cause)
except that they say, "our Lord is Allah". Did not Allah check one set of people by means of
another, there would surely have been pulled down MONASTERIES, CHURCHES,
SYNAGOGUES, AND MOSQUES, in which the name of Allah is commemorated in abundant
measure. Allah will certainly aid those who aid his (cause);-for verily Allah is full of Strength,
Exaltedin Might, (able to enforce His Will).
Kwahiyo tafsiri hiyo ya Quran iliyotolewa kwa lugha ya kiingereza inafunga ubishi wa kudai Hekalu la Sulemani ndio msikiti wa Al aqsa. Kwa kiarabu na Kiswahili juu ya majengo hayo:

KISWAHILI KIARABU
1)Mahekalu---------- Swawamiyu
2)Masinagogi----------Waswalawatuni
3)Makanisa-------------Wabiyauni
4)Msikiti----------------Wamasaajidu

Hivyo kwa kirabu mahekalu yanaitwa Swawamiyu na msikiti unaitwa Wamasaajidu. Na jambo
lingine msikiti wa Al aqsa nadome of the rock yote ilijengwa na injinia mkristo wa Byzentine na ilijengwa kwa mandhari ya ujenzi wa Kirumi/Byzentine. Maana Waarabu/Waislamu hawakuwa
na aina ya ujenzi huo ambao juu yake una dome. Na ndio maana unaona kanisa la Holy Sepulcher ambalo lina miaka 300 mbele ya dome of the rock na msikiti wa Al aqsa juu yake una dome tatu.

Khalifa wa Umayyad, Abdul Malik alitaka kuufanya Uislamu uwe na muundo wake wa ujenzi na alama za kidini, hivyo alitwaa mengi kutoka kwa Warumi-Wagiriki-Byzentine na Uajemi ambao walikuwa wametangulia katika tekinolojia ya ujenzi. Hata nyota ya nchanane (octagon) ambayo unaikuta katika misikiti mingi hasa ile mikubwa na katika madhuria ya Waislamu, tambua Abdul Maliki aliitwaa kutoka kwa Warumi. Pia angalia majengo ya Makka na Madina utaona baadae Waislamu waliyajenga na juu yake wakiyapamba kwa dome na alama za nyota za ncha tano na nchanane/ama engo nane(octagon), hata dome of the rock limejengwa kwa ishara ya octagon.

Wakati waMuhamad hakukuwa na dome wala matumizi ya Octagon.
 
Mtume aliwadanganya wafuasi wake alisema ametoka Madina mpaka Jerusalem kwa usiku mmoja akasali kwenye hekalu la Solomoni halafu akapa mpaka mbinguni.. Halafu mbinguni kuna mageti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zile ni ndoto wengine wanaita nightmare
 
U

Umeninukuu ? Ukiwa umesoma comment kabisaaa?
 
Mtume aliwadanganya wafuasi wake alisema ametoka Madina mpaka Jerusalem kwa usiku mmoja akasali kwenye hekalu la Solomoni halafu akapa mpaka mbinguni.. Halafu mbinguni kuna mageti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zile ni ndoto wengine wanaita nightmare
Muhammad ni mtume wa uongo
 
Swali lengine kipindi mtume ameenda Jerusalem hilo hekalu halikuwepo sasa alisali hekalu gani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama halikuwepo kulikuwa na nini eneo lile?
Muhamad aliukuta huo msikiti wa Al aqsa kwa namna gani huku pale kulikuwa
na kanisa pekee?

Jibu nikwamba ulikuwa ni msikiti wa ndotoni na si halisi. Hata khalifa wa pili
waUislamu Umar bin Kattab alipoitwaa Yerusalemu toka katika mikono ya Wakristo mnamo 638 B.K hakukuta msikiti huo bali Kanisa pekee, patriki alimkaribisha Umar kanisani, lakini yeye hakuingia, akiona baadae Waislamu watakuja kulifanya msikiti, akasalia nje ya kanisa.

Hapo baadae ndipo Waislamu wakaja kujenga msikiti wa Umar ambao upo karibu na kanisa la Sepultcher.

Umar tamaa yake ilikuwa ni kuona msikiti wa Al aqsa kama alivyosikia katika ndoto
ya Muhamad bwana wake, lakini hakukuta chochote wala hakujua ni wapi lilipokuwa hekalu la Suleman,alioneshwa na myahudi mmoja aliyesilimu ambaye anajulikana kwa jina Kaabi.Wakati Umar ameingia Yerusalemu aliutwaa ufunguo wa mji kwa patriaki(askofu)wa Yerusalemulakini
hakuruhusu Kanisa la Holy Sepulcher libomolewe ingawa wafuasi wake walitaka
 
Back
Top Bottom