Ukweli mtupu.
Unapoongelewa Jews huwezi kutenganisha na judism ambayo ni imani. Na unapoongelea Arabs huwezi kutenganisha na islamic ambayo ni Imani. Wale minority wanatoka nakuwa idha christian sio issue kwao. Ni sawa na Waafrika na taboo zao ambapo wengine wamekuja kuwa Christian na Islam lkn originaly hawakuwa na hawana miji ya kiimani ndani ya Afrika au huko middle east isipokuwa wale Christian na Islam.
Na Wakristo na waislam wenye uelewa kwa Mungu hawawezi kuamini eti Mungu yuko centred ktk miji fulani au huko ndiko hupatikana na kutoa baraka. Maana kwa kuamini hivyo wanakiri kuwa inferior kwa wenyeji wa miji hiyo yenye huo Mungu apatikanaye kwenye maeneo hata kama watu wa miji hiyo ni waovu kuliko Waafrika wasio na dini hizo
Waislamu Someni vitabu na historia ,mtadanganywa na kutapeliwa mpaka lini?
Ukisoma jinsi Hekalu la Suleman lilivyojengwa pamoja na fanicha zake
utaona ni mbali kabisa na msikiti huo. Ndani yake lilikuwa kama ifuatavyo:
1.Hekalu lilikuwa na vyumba viwili vilivyotenganishwa na Pazia. Cha kwanza kikiitwa Patakatifu na cha pili kikiitwa patakatifu pa patakatifu.
2.Chumba cha kwanza kikiwa na meza ya dhahabu yenye mikate 12, kuna kinara cha taa 7
na madhabahu ya kufukiza uvumba.Humu waliingia makuhani pekee kuhudumu.
3.Chumba cha pili, kina sanduku la agano lenye makerubi juu yake na ndani yake kuna mbao mbili za mawe zenye amri 10 za Mungu. Pia alijenga makerubi mawili makubwa yakawa upande wa kulia na kushoto wa sanduku la agano. Humu aliingia kuhani mkuu peke yake
kwa mwaka mara moja kufanya upatanisho wa taifa.
4.Nje ya Hekalu kulikuwa na ua wa nje wenye madhabahu kubwa ya kutolea dhabihu za kuteketezwa pamoja na birika kubwa la maji.
5.Ndani ya kuta za Hekalu alichora picha za miti ya mizaituni na makerubi
Sasa tujiulize, huo msikiti wa Al aqsa una mambo kama hayo ndani yake na nje yake? Jibu ni la!
Na laitiungekuwa nayo basi leo Wayahudi wasingesumbuka na mipango ya kujenga Hekalu lingine, wangeliteka tu na kuendeleza ibada zao.Na hoja ya kuchora pichana makerubi kwa Uislamu ni ukafiri, hivyo kwa vyovyote vile Hekalu hilo halikuwa msikiti.
Juu ya jinsi Hekalu la Suleman lilivyojengwa ona 1 Wafalme sura yote ya 6.Pia katika lugha ya Kiarabu msikiti na
Hekalu ni vitu viwili tofauti.
Mfano tukisomamQuran 22:40 kwa kiingerezainasema hivi:
(They are) those who have been expelled from their homes in defiance of right,-(for no cause)
except that they say, "our Lord is Allah". Did not Allah check one set of people by means of
another, there would surely have been pulled down MONASTERIES, CHURCHES,
SYNAGOGUES, AND MOSQUES, in which the name of Allah is commemorated in abundant
measure. Allah will certainly aid those who aid his (cause);-for verily Allah is full of Strength,
Exaltedin Might, (able to enforce His Will).
Kwahiyo tafsiri hiyo ya Quran iliyotolewa kwa lugha ya kiingereza inafunga ubishi wa kudai Hekalu la Sulemani ndio msikiti wa Al aqsa. Kwa kiarabu na Kiswahili juu ya majengo hayo:
KISWAHILI KIARABU
1)Mahekalu---------- Swawamiyu
2)Masinagogi----------Waswalawatuni
3)Makanisa-------------Wabiyauni
4)Msikiti----------------Wamasaajidu
Hivyo kwa kirabu mahekalu yanaitwa Swawamiyu na msikiti unaitwa Wamasaajidu. Na jambo
lingine msikiti wa Al aqsa nadome of the rock yote ilijengwa na injinia mkristo wa Byzentine na ilijengwa kwa mandhari ya ujenzi wa Kirumi/Byzentine. Maana Waarabu/Waislamu hawakuwa
na aina ya ujenzi huo ambao juu yake una dome. Na ndio maana unaona kanisa la Holy Sepulcher ambalo lina miaka 300 mbele ya dome of the rock na msikiti wa Al aqsa juu yake una dome tatu.
Khalifa wa Umayyad, Abdul Malik alitaka kuufanya Uislamu uwe na muundo wake wa ujenzi na alama za kidini, hivyo alitwaa mengi kutoka kwa Warumi-Wagiriki-Byzentine na Uajemi ambao walikuwa wametangulia katika tekinolojia ya ujenzi. Hata nyota ya nchanane (octagon) ambayo unaikuta katika misikiti mingi hasa ile mikubwa na katika madhuria ya Waislamu, tambua Abdul Maliki aliitwaa kutoka kwa Warumi. Pia angalia majengo ya Makka na Madina utaona baadae Waislamu waliyajenga na juu yake wakiyapamba kwa dome na alama za nyota za ncha tano na nchanane/ama engo nane(octagon), hata dome of the rock limejengwa kwa ishara ya octagon.
Wakati waMuhamad hakukuwa na dome wala matumizi ya Octagon.